puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
Maisha ili yawe marahisi inabidi watu wakat mwingine tujifurahishe na kujiona tunacho hata kama hatuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ninafsi huwa najiuliza sana weekend mtu unapata wapi ujasiri wa kutoka kama mkukoni unakosa hata ka milioni cha kwenda kuspend...
Hivi watu wasio tumia I phone macho matatu huwa wakipigiwa wanaelewana kweli maana nahisi hizi simu nyingine kama haziko sawa[emoji848]
Jana ilibaki kidogo tu nichelewe airport, maana ile range yangu asubuhi kila nikiwasha haiwaki kumbe jana niliamka na pombe siunajua hizi gari zetu za kisasa...ukilewa ina sense [emoji45]
Yani leo biashara zangu hazijaenda poa kabisa mpaka muda huu ndio kwanza nimepata Mil 70. Duh kweli maisha magumu.
Halafu naomba mtu anaekwenda Dubai wiki hii nimwagize pale Emirates aninunulie maserati hii Benz ya 2021imenichosha sana...
Karibuni matajiri wenzangu[emoji16]