Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
UZI WA KIJOBLESS ( c&p:x)
Leo ngoja niwape stori moja hivi.
Kuna siku bhana mteja alinicheki akasema anahitaji mataulo matano meupe. Nikasema haina shida umepata, nipe location akanitajia ila akasema hela ya delivery kubwa sana hadi alipo nikamwambia usikonde kama utaweza vumilia hadi jioni nikiwa natoka.
Nikuletee utachangia hela ya daladala tu kwenda na kurudi, akasema poa. Basi jioni ilivyofika nikamfungia mzigo nikaanza safari mdogo mdogo huku tukipeana maelekezo ya sehemu husika, basi nikafika kweli getini nilipoelekezwa nikaona maandishi yanasoma wanafanya huduma ya masaji.
Nikaona leo humu ndani kutakuwa na pisi za maana si unajua tena basi nikajiweka vizuri kabla sijaingia ndani manake huwezi jua bhana si mnaelewa wanangu hapo eeh, basi nikazama hadi ndani kwa mteja wangu. Nafika tu mapokezi nakutana na dada kavaa kimini na tisheti.
Kifuani chuchu zinachoma nikaona huu ndo ugonjwa wangu kabisa, nikamsalimia nikamwambia kuna dada kaniagiza hizi taulo kasema nimngojee hapa anakuja, akaniambia kaa hapo kwenye kitu kaka yangu mzuri mzuri usijali anatoka sasa hivi yupo na mteja, nikasema sawa ila sasa.......
Alivyoniitaka kaka mzuri mzuri na sauti kanilegezea akanimaliza kabisa na ukiangalia ana sifa zote nazozitaka basi dah nikawa situlii pale kwenye kitu 😂. Sijaka sawa akapita dada mwingine kavaa kimini na shati tu vifungo kafungua hadi maziwa yanakalibia kuonekana dah
Nikasema leo kazi ninayo sijatulia vizuri yule dada wa mapokezi akaanza kunichombeza eti "kaka kwani wewe hufanyagi masaji" kwa uchu wa yule dada nilitaka nilopoke nafanya ila nikajizuia nikasema nisipokuwa makini hapa naacha hela ya mataulo hapa hapa ngoja nikaze.
Na mie nikaamua kumzingua hivi kwani mnafanya bei gani akajibu sogea hapa nikuelekeza bei na huduma zetu zilivyo nikaona yes hii fursa sasa ya kumuangalia vizuri huyu mrembo. Kweli nikasogea hadi pale akawa kainama kidogo anatoa karatasi basi kisketi kikapanda kiaina hivi.
Asee akazidi kunichanganya, akaninuka akawa ananionyesha huduma zao mie nikawa nimepatwa wazimu sasa macho yapo kifuani tu kwenye zile chuchu dede sielewi anachoniuliza, bahati nzuri yule dada aliye niagiza matauli akaja ndo akanishtua ikabidi nimwambie nakuja ili anielekeze tena
Basi yule dada alitoka akiwa na upande wa kanga kajifunga tu nali zigo la kwenda asee dah ananiongelesha na sauti ya kimahaba nikaona hapa leo nimepatikana naweza nisitokea salama humu. Basi akakagua mzigo akalizika akanilipa akaniambia save namba yangu nitakuwa nakuagiza vitu
Nikasema poa asante sana ila ngoja nirudi pale mapokezi yuke dada alikuwa ananipa maelekezo ya huduma zenu, nikashangaa anatabasamu alafu ananiambia shauri yako usije ukaacha hela za duka zote ufilisike, nikamwambia kwanini tena unasema hivyo akajibu nakutania bhana.....
We nenda kachukue maelekezo unaweza ukawa mteja wetu, nikasema sawa ila mie akili ikawa inawaza niondoe na namba ya yule dada wa mapokezi tu manake kashanichanganya akili yangu 😄. Basi bhana nikarudi nimaliziwe kuelekezwa eeh bhana eeh nilichosikia nilichoka sana
Dada ananiambia kuna masaji ya laki na nusu hii ukifanyiwa kuna happy ending na laki mbili na nusu ni full body masaji na happy ending, ikabidi niulize happy ending ndo nini asee nikaambiwa kama mwanaume lijali unapogusana na mwanamke lazima hisia zipande....
Sasa huwezi kuvumilia zile hisia zinapopanda ndo hapo tunaamuwa kushusha hisia kwa happy ending nikaoona oohhh kazi ipo. Nikamwambia ila mie nataka masaji nifanyiwe na wewe na nipewe na happy ending inawezekana akajifanya kusema mie siruhusiwi sababu kazi yangu ni kupokea wateja
Nikaamzimgua nikamwambia sio hapa nataka uje unifanyie kwangu, akasema na mkeo jee mie sitaki ugomvi nikamwambia hadi nakuita kwangu inamaana ujue nipo single bibie we niambie tu inawezekana au vipi, akawa anadengua dengua na pozi za sitaki nataka nikamwekea simu akachora namba
Nikamwambia nitakucheki basi ili nijue ratiba zako ili tupange vizuri manake nataka hiyo happy ending iwe siku nzima nikaona anajichekesha chekesha pale kiaibu aibu nikajisema kimoyo moyo we cheka tu ila ukija mie maswala ya masaji sitaki nataka happy ending mwanzo mwisho 😄
Vipi wanangu mnanishauri nipige simu mtoto avuke geto au nikaushe manake mtoto anasifa zote za kuwa demu mkali asee kama mnavyojua trump misaada ya dawa kasitisha 😂 au liwalo na liwe tu mie niivute niichape tu 😄
C&P.X