Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unampenda mwanamke gani hapa jfAya sawa twende kazi nakusikiliza
Mkuu wewe ni me au keMiss natafuta una mchumba?
Me!Mkuu wewe ni me au ke
Kwann ulichagua kutumia hiyo id ya seyayi
Napenda zaidi Jamii intelligenceOoh kumbe unapendelea jukwaa gan hapa Jf
Nilihangaika mno kila Id niliyotaka kutumia imo humu,nikaona ngoja nijaribu hii,ikakubali[emoji16]Kwann ulichagua kutumia hiyo id ya seyayi
Safi sana mkuuNapenda zaidi Jamii intelligence
Unaijua maana yake lakinNilihangaika mno kila Id niliyotaka kutumia imo humu,nikaona ngoja nijaribu hii,ikakubali[emoji16]
Kwann unapenda sana wanawakeNa Mimi niulizeni
Asante sana na mimi nina maswali yako hapaSafi sana mkuu
Sungura!!Unaijua maana yake lakin
KiajeKwann unapenda sana wanawake
Nipee mkuuAsante sana na mimi nina maswali yako hapa
Hahah!! Naona umeamua kuomba kabisaNa Mimi niulizeni
Unampenda sana huyo mnyamaSungura!!