Uzi wa kinyume nyume

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Wakuu habari za muda huu,

Kama ambavyo kichwa chajieleza,tupieni hapa maneno ya kinyume nyume tupate kufurahi.
Mfano,
......mbona unaumwa unakonda nini?
......mapigo ya mbio yanaenda moyo
 
Wewe inaonyesha huu uzi ndio mana umeanzisha umechanganyikiwa.
 
Nilichekaga sana kinyume ya hii kitu PETA KAREFA badala ya REFA KAPETA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…