Hahahhaha aisee asante kwa hilo jamani sasa ngoja nikupe link ya jibu lakoDemiss uache hizo kuna uzi mmoja nilishawahi kukwambia ukweli juu ya tabia zako za kujifanya mrembo sana na kila kitu we uko juu ila ulinitolea maneno makali sana,ubadilike ni hayo
Hiki kitu leo nimeona niseme
Link tena?Hahahhaha aisee asante kwa hilo jamani sasa ngoja nikupe link ya jibu lako
Ndio ukweli wenyewe kaniroga yuleKiroho safi, halaf mganga hukumpenda basi tu ni madawa yake believe or not
Nimeona haina jibu lakini nikwambie asnte kwa ukweli ulioniambia hahahha kuanzia leo naaacha masifa hakiiLink tena?
Sio kweli kwamba unawakatalia nasikia wewe mwenyewe una sura ya mjombaSoma vizur kabla sijampata mchawi nilitongozwa vya kutosha wengine tukashindwana bhn mm napenda mahelaaa
Tuko pamoja!![emoji122] [emoji122] [emoji122]Nimeona haina jibu lakini nikwambie asnte kwa ukweli ulioniambia hahahha kuanzia leo naaacha masifa hakii
Ndo muda wakumchana Live kiroho safi tu. Ukweli usemweNdio ukweli wenyewe kaniroga yule
Nina sura mbaya bhn kama ya baba angu inatisha sana yani huo ndo ukweliSio kweli kwamba unawakatalia nasikia wewe mwenyewe una sura ya mjomba
Asantee sana ukweli mzuri hebu niambie na kingine kinachokukeraTuko pamoja!![emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nimependa sana majibu yako!!
Naanzaje kwa mfanoooNdo muda wakumchana Live kiroho safi tu. Ukweli usemwe
Ni hilo tu nilikuwa kila nikiona coment yako nawaza mengi sanaAsantee sana ukweli mzuri hebu niambie na kingine kinachokukera
Tatizo mm huwa hata sikumbuki lakini niliowakosea ndio huwa wanakumbukaNi hilo tu nilikuwa kila nikiona coment yako nawaza mengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kwa sauti lol [emoji23][emoji23]Ngoja mimi nianze.
ledada avatar zako za mishepu ya ukweli ndio zilinifanya nika kufollow...
Usibadili avatar mamii...
kuna MBINU ya kutia hamira nimeijaribu ile mkuu ugali nakula mpka unabaki asubuhiUmefanikisha kupika chakula kingi?
HahaNina sura mbaya bhn kama ya baba angu inatisha sana yani huo ndo ukweli
Ahhahahahahaah unanifurahishaga sana DemissMimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo