Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Swadakta kabisa Hajar, maneno yako sawiyaMie nawaambia ukweli wale wote wanaochangia uzi kwa kujuana + mazowea na mleta uzi. Haifai hiyo tuiache.
Maana waeza kuta uzi mzuri ila kisa member hajulikani basi unadoda.
Tuacheni hizo mambo kama tulivyopendana kipindi kile kwa kupeana taarifa na kuhamia kwa jirani basi na hata kwenye nyuzi tupendaneni pia kwani ubaguzi si mzuri.
(Hapa nasemea zile ambazo sio Chai)
Umeonaeee. Haya ahsante Sesten.Swadakta kabisa Hajar, maneno yako sawiya
Karibu mamii😉Umeonaeee. Haya ahsante Sesten.
🙏🙏🙏
Mganga yupi MziziMkavu au Mshanajr ?Mimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo
SawaNakukubali sana demiss, hiyo ya kugombana na wewe kwa id nyingine ni weird news kwangu.... i dont have another moniker apart from this one
Sitak bhn mambo gani hayoNani unamaanisha nini au wataka jina lako halisi au la kwangu
Kwani kutogoza nako ni ushindaniMimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo
Thanks kwa kuwaambiaMie nawaambia ukweli wale wote wanaochangia uzi kwa kujuana + mazowea na mleta uzi. Haifai hiyo tuiache.
Maana waeza kuta uzi mzuri ila kisa member hajulikani basi unadoda.
Tuacheni hizo mambo kama tulivyopendana kipindi kile kwa kupeana taarifa na kuhamia kwa jirani basi na hata kwenye nyuzi tupendaneni pia kwani ubaguzi si mzuri.
(Hapa nasemea zile ambazo sio Chai)
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Thanks kwa kuwaambia
Weka ofa nikuletee HawaNatafuta mchumba awe under 20..Ani pm awe mrembo,
Hahahahaaa sasa si uzi wa kuambizana ukweli auSitak bhn mambo gani hayo