Mimi naomba niwaambie ukweli wale wote mlionitongoza pm jamani msiwe na hasira na mm wengine hata siwakumbuki maaana idadi yenu ni maelfu kwa maelfu ila aliyeshinda ni mmoja mganga kwanini mna kisasi na mimi?
Jamani hebu kuweni na huruma basi ningewafungia pm napo ningesema mm mwanaume sasa maneno ya nini jamani ndo hivyo mganga anakula hiki kitumbua kitamu na kama uliwahi kuonja baadae tukabwagana fanya kama hujui manenomaneno ya nini mbna mm sina sema siwezi kuwakumbuka wotee maana ni wengi haya tuishie hapa kwa leooo