Uzi wa kuandika chochote usichokipenda.

Uzi wa kuandika chochote usichokipenda.

Sipendi kauli za Makonda. Mara bar zifunguliwe saa kumi mara tu asiingie gesti gesti mchana. Mara wanawake wasioolewa waje niwatafutie mabwana. Mara Lowasa njoo ofisini kwang. Mara shisha marufuku Dar. Mara vitambulisho vya walimu wa Dar ili wasafiri bure. Mara ukiingia gesti na totoz uwe na cheti cha ndoa. Mara ushuzi unanuka kama keki. Hivi wa nini Huyu waqt hajayekeleza hata kimora????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vikao havikufai mkuu hahahaaa
Vinanifaa sana unajua shida ni pale umeenda kwenye cha watu kumi halafu humo kuna mijamaa inagonga mara Heinken,Amstel,Dry Savanna,nk halafu wewe unajipigia lisafari lako au libalimi ili ulipuke haraka.Halafu yule mwenye Heinken(4000)anawazungushia wote!!!!Hahahaha wewe mnywa balimi(1500)amani itakuishia pale zamu yako ya mzungusho ikikufikia!!!!.Bado kwenye hao kumi kuna wengine tunaspeed za kibalimi so utaona aibu kujiagizia peke yako so utazungusha mara ya pili wakati wanywa heinken na Savanna wao mdogo mdogo kwa ujanja. Hapa ndo ile tabia ya Mupe Muruke huanzia hapa.
Bado kwenye kumi kuna mijamaa kama mitatu yenyewe ikishanunua ile bia ya kwanza hainunui tena inavazia bia ikikaribia kuisha ndo simu zinaanza kuwa busy na chooni kwa sana kusudi akute ameishazungushiwa kinywaji,ndo utashangaa Bill inakuja unaanza ukitolea mimacho wewe unadaiwa 35000 mwingine anadaiwa 3500.
So bro ili husiende nyumban kichwa kinauma ni heri kila mtu anunue kinywaji chake kulingana na balance yake na huku kikao kinaendelea.
Yaani bro Mimi ndo uwa ndo sera ukinunulia kinywaji mimi sikununulii ili next time husijaribu ila km ni chakula tunaweza kushare Bill bila shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo zipo sana mkuu na beer za hivyo huwa ni za kutiana hasara bora kila mtu asimamie show yake kimpango wake lakini sio kuleta issue za zungusha kuna mabwege zao ndio hizo ikishafika zamu yake hatulii kwenye kiti hahahaha
 
Hasa inakera zaidi mno katikati kabisa akisikia unataka kuurusha anakubania pua "baby ile simu utaninunulia kweli"!!
Mimi hujibu ndio halafu ukimaliza kumchakaza unamuuliza ulikuwa "unasemaje"?Anaanza kujiuma uma
"Nikipata pesa nitakununulia"

Sent using Jamii Forums mobile app
Anakutafutia timing anajua hapa kwenye nonihino hapa hawezi kukataa, linapokuja suala la pesa mwanamke hana huruma
 
Back
Top Bottom