Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
pole sana chiefNimejifunza kwamba siasa ni mchezo mchafu....sintarudia tena kwenye maisha yangu kumuamini mwana siasa na kupiga kura.
MKUU MUMU YUKO WAPI SIJAMUONA MUDA SASApole sana chief
MKUU POLE SANANimejifunza ya kwamba mwanamke mwenye msambwanda anaringa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
MKUU UMEONGEA POINT SANANimejifunza ya kwamba? maisha ya mwanadamu ni mafupi mno yaliyojaa dhiki nyingi hivyo ni bora kuishi ukijitahidi kutenda mema ila dunia iweze kuwa sehemu salama
Nimejifunza ya kwamba hapa tz mwana siasa ukiwa njaa kununulika ni fasta sanaKuna sehemu niliwahi kuona maneno haya.
"Nimejifunza ya kwamba maneno matamu,uso wenye bashasha na ukarimu ni rasilimali za tabia"
yupo, majukumu kidogoMKUU MUMU YUKO WAPI SIJAMUONA MUDA SASA
MSALIMIE MKUU,yupo, majukumu kidogo
sawa chiefMSALIMIE MKUU,
Naomba uniambie asili ya jina lako.MKUU POLE SANA
That It's my pleasureMKUU UMEONGEA POINT SANA