Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Nimejifunza kwamba Maisha ni magumu hadi watu wakinywa soda wanalewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa dadaNimejifunza kwamba maisha bora hayaji bila kuparangana.
Mkuu pole sana. Huwa nawashangaa sana watu wanaoona kilimo nikama kukosa kazi za kufanya na wajati kila siku wao wanakula vyakula na kupitia jasho la mkulima.nilizingua form six necta,demu wangu akafaulu baada ya kwenda chuo akaanza kuniletea dharau
baada ya kumwambia nimeamua kufanya kilimo.
akaanza hizo dhar(L)au na nilikuwa nikimsikia akichekasana(pamoja na rafiki zake) akiwa kwenye simu kwakuwa miminimkulima.
kwa hii username huwaga inanipa nguvu ya kitafuta zaidi
nahisi umenielewa
asante mkuuMkuu pole sana. Huwa nawashangaa sana watu wanaoona kilimo nikama kukosa kazi za kufanya na wajati kila siku wao wanakula vyakula na kupitia jasho la mkulima.
Unafanya kilimo gani mkuuasante mkuu
thanks mkuuhahaha wewe ni akili kubwa
kweli tupu na fedheha juu... tujifunze kukutafuta wenyeweNimejifunza kwamba maisha ya kudanga mwisho wake huwa magumu sana