Uzi wa kuandika maneno yenye busara kwa kuanzia na "Nimejifunza ya kwamba....."

Uzi wa kuandika maneno yenye busara kwa kuanzia na "Nimejifunza ya kwamba....."

nilizingua form six necta,demu wangu akafaulu baada ya kwenda chuo akaanza kuniletea dharau
baada ya kumwambia nimeamua kufanya kilimo.
akaanza hizo dhar(L)au na nilikuwa nikimsikia
akichekasana(pamoja na rafiki zake) akiwa kwenye simu kwakuwa miminimkulima.
kwa hii username huwaga inanipa nguvu ya kitafuta zaidi

nahisi umenielewa
Mkuu pole sana. Huwa nawashangaa sana watu wanaoona kilimo nikama kukosa kazi za kufanya na wajati kila siku wao wanakula vyakula na kupitia jasho la mkulima.
 
Nimejifunza kwamba. "Usiumie kwa wale wanaokuacha/kukudhihaki katika mambo yako, tumia maumivu kupata mafanikio yatakayokuonyesha wewe ni nani.

Cc: miminimkulimaakachekasana
 
Nimejifunza kwamba usiyadharau maji machafu yanaweza kukusaidia kuzimia moto
 
"Nimejifunza ya kwamba,tajiri ni yule anayemiliki afya njema na akaridhika kwa kile anachokipata"
 
Nimejifunza ya Kwamba Si kila anayesema msema kweli mpenzi wa Mungu ni Mpenzi wa Mungu kweli.Na mnyonge ni mtu wa wanyonge ....wanyonge wanaona unyonge sasa hivi.
 
Back
Top Bottom