Uzi wa kuandika neno ahsante kwa makabila yote Tanzania

Hayo mnayoyaita Makabila yote ni fake, kabla ya Muzungu na Mwarabu hayakuwepo, jinsi yalivyo leo hii.

Isitoshe binadamu gani bado anaongelea Kabila Dunia ya leo? Mko so primitive washenzi nyie, kumbe ndo maana mnashirikiana na Muzungu kubomoa Taifa na kufurahia Taifa likiangamia, sababu ni hiyo hamjui hata maana ya nchi, hamieni misitu ya Kongo huko mkaishi kama Sokwe na Makabila yenu!

You are suffering indeed ..
 
Mh mjumbe wewe ni chotara wa makabila, umejivua kwenye Ubantu moja kwa moja maana Mbantu halisi ana kabila moja[emoji23]
Mh mjumbe, huku Ushirombo tinasema katule tyanyi..
 
Hayo mnayoyaita Makabila yote ni fake, kabla ya Muzungu na Mwarabu hayakuwepo, jinsi yalivyo leo hii.

Isitoshe binadamu gani bado anaongelea Kabila Dunia ya leo? Mko so primitive washenzi nyie, kumbe ndo maana mnashirikiana na Muzungu kubomoa Taifa na kufurahia Taifa likiangamia, sababu ni hiyo hamjui hata maana ya nchi, hamieni misitu ya Kongo huko mkaishi kama Sokwe na Makabila yenu!
Hakuna utumwa kama kukataa kwenu
 
Yani wewe ndo bado kabisa aisee,unaukataa u kwenu na kutukuza mataifa yasiyo yako na desturi zao

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Back
Top Bottom