Uzi wa kuandika neno ahsante kwa makabila yote Tanzania


You are suffering indeed ..
 
Kwa Kizinza muulize Mheshimiwa sana wa Nchi.
 
Mh mjumbe wewe ni chotara wa makabila, umejivua kwenye Ubantu moja kwa moja maana Mbantu halisi ana kabila moja[emoji23]
Mh mjumbe, huku Ushirombo tinasema katule tyanyi..
 
Hakuna utumwa kama kukataa kwenu
 
Yani wewe ndo bado kabisa aisee,unaukataa u kwenu na kutukuza mataifa yasiyo yako na desturi zao

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…