Uzi wa kuandika neno ahsante kwa makabila yote Tanzania

21:Waha(Ahsante=ulakoze).
 
Naomba kujibiwa; Wajiji, na Wavinza ni makabila ya mkoa gani?

Vv
 
Kisukuma-Mwabheja
Kinyakyusa-Ndaga fijo
Kinyiha-Mwasalipa
Kingoni-Usengwile
Kihaya- Wakola waito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…