Uzi wa kuchambua na kutambua nyimbo nzuri za chekechea

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Wimbo wangu bora wa nursery ni POP GOES THE WEASEL. Wako ni upi? Kama ulisomea kayumba huu uzi haukuhusu!
 
Kuna nyimbo aliimba Fundi Konde - Maua mazuri yapendeza ukiyatazama. ... ninao kwenye santuri . .

Nyimbo ya pili: Siti Bin Saad - Ukuti ukuti wameme wameme (Pia ipo kwenye santuri Bahati mbaya santuri yake niliivunja). .

Ila wa kayumba kweli huu uzi haunihusu. .
 
Hebu tupishe huko akina st kayumba na sie watu

Ka kuku ka mama rhoda kalikula mpunga wangu

Mabata madogo madogo yanaogelea yanaogeleeea katika shamba zuri la bustaniiiiiiii,yanapenda kutembea bila viatuuu bila viatu katika shamba zuri la bustani,yanapenda kulia kwa kwakwaaaa kwa kwakwaaaaaaa

Haya ngoja turudi kwa mabasi ya njano tuimbe john john yes papaaaa
 
Mk
Kuna nyimbo aliimba Fundi Konde - Maua mazuri yapendeza ukiyatazama. ... ninao kwenye santuri . .

Nyimbo ya pili: Siti Bin Saad - Ukuti ukuti wameme wameme (Pia ipo kwenye santuri Bahati mbaya santuri yake niliivunja). .

Ila wa kayumba kweli huu uzi haunihusu.

Hebu tupishe huko akina st kayumba na sie watu

Ka kuku ka mama rhoda kalikula mpunga wangu

Mabata madogo madogo yanaogelea yanaogeleeea katika shamba zuri la bustaniiiiiiii,yanapenda kutembea bila viatuuu bila viatu katika shamba zuri la bustani,yanapenda kulia kwa kwakwaaaa kwa kwakwaaaaaaa

Haya ngoja turudi kwa mabasi ya njano tuimbe john john yes papaaaa
Umetisha bibi numbisa
 
Back
Top Bottom