Uzi wa kuchati Kilugha

Uzi wa kuchati Kilugha

Status
Not open for further replies.
Nimefuatilia unavyokipiga sio pouwa.

Wanangu lazima waje waongee, ntafanya kila namna lazima tudumishe na kuenzi mila
Hahaha
Kuandika naweza
Ila kuongea huwa naongea kwa kufikiria..
Ila najua kukipanga..grammar zake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikija kupata watoto nawapeleka kijijini hata mwez tu...wanarudi wanaongea vzr kabisa[emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom