Uzi wa kuchati Kilugha

Status
Not open for further replies.
Mkuu hii yakwetu ngumu sana kuandika.
Kweli, mimi ninaandika matamshi ya kikwetu kwa kiswahili.Niliwahi kwenda kijijini kwenye harusi, wakati tupo kanisani pakawa na kitabu cha nyimbo kwa kilugha;Nilikua nashindwa kusoma ila wakitamka naelewa ...
 
Bradha, Nilikuwa nacho hata mm, yani nilikuwa naimba nyimbo nlizokarr tu. Lakn mpya hata kusoma nashindwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…