Uzi wa kuchati Kilugha

Uzi wa kuchati Kilugha

Status
Not open for further replies.
Hapo ndo tatizo ,maana kuna wengine unakuta kazaliwa mjini lakini wazazi wanaongea kilugha imemfanya na yeye anakijua asahiv kama mtu aliyezaliwa mkoa.....
Wahaya, wasukuma ndio wanabidii iyo navyohisi ya kuzijua lugha; hata wakizaliwa mijini. Wengi mi nimewashudia tumekuwa nao bila bila kilugha tu

Sema na mpango wa kuanza kujifunza
 
Wahaya, wasukuma ndio wanabidii iyo navyohisi ya kuzijua lugha; hata wakizaliwa mijini. Wengi mi nimewashudia tumekuwa nao bila bila kilugha tu

Sema na mpango wa kuanza kujifunza
Kilugha tu mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom