Uzi wa kuchati Kilugha

Uzi wa kuchati Kilugha

Status
Not open for further replies.
Kukujibu ndio mbinde ila asilimia kumbwa nimekuelewa
Aasante mkuu, nyumbani kilikuwa kinaporomoshwa mpaka inabidi ujue, penda usipende.

Wanakuja binamu kutoka ndanindani huko hata Kiswahili hawajui, wanakuongelesha tu hawaamini kwamba kuna mtu hajui Kisukuma dunia hii, mpaka utajua tu.
 
Mwang'aluka mayo!
vp nimepatia?
 
Hii thread yamotooo..unaweza kutetwa hivi hivi mpk na mtu ana ku quote ila huelewi wamesema nini ukienda kwenye comment unaambulia ID yako tu mengine huyaelewi..

na mtu asini quote nimesema labda uwe umeandka kiswahili
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom