Uzi wa kuelezea matukio ya kutisha uliyowahi kukumbana nayo maishani, either ya kichawi,anything scary

Hata Mimi nawaza hivyo ! iLa jamaa mwenye ile Pete ni kichwa kweli darasani ndio alikua anategemewa, jamaa alikua fundi wa kupiga kinanda ile mbaya, na alikua kiongozi(mwenye kiti) wa kikundi cha (TYCS)
umesoma ruhuwiko?
 
Matukio ya kishirikina Huwa hayaniogopeshi hata chembe pengine ni kutokana na kukumbana nayo tangu utotoni.Naogopa zaidi vibaka
 
Matukio ya kishirikina Huwa hayaniogopeshi hata chembe pengine ni kutokana na kukumbana nayo tangu utotoni.Naogopa zaidi vibaka
Mkuu magu sehemu gani
 
A
Angekuwa koboko wote mngeteketea,bahati yenu mlikutana na mchovu chatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…