Uzi wa kuhifadhi rekodi za "MATAGA" & "CHAWA" kwa awamu tofauti

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
4,903
Reaction score
7,213
Poleni kwa taharuki za udukuzi na kupata taarifa za kushtua mioyo.

Nimeona heri tukumbushane hapa wale wanaharakati wa awamu ya 5 maarufu kama Mataga na hawa wa sasa kama chawa.

Tujue huwa wanabadili IDs tu ama usajili huwa ni mpya kabisa. Kuna Id zilitamba sana enzi za mwendazake leo huzioni. Lizaboni .

Naamini hata hawa akina Tlaatlaah & co nao watapita tu.

Tuwaite waje hapa, siasa ni wakati wasiwe wanyonge na kupoteza matumaini.
 
IMG_1326.jpeg

Bunge lime prove kuwa CCm ni mashoga na wameomba mashine kwa nchi ambazo zinaingilia uchumi wao waje na mashine
 
Poleni kwa taharuki za udukuzi na kupata taarifa za kushtua mioyo.
Hivi wamesema Polisi walipost picha ya utupu yaan ponographia kwenye ukurasa wao wa X au mimi sijaelewa?
 
Endelea kubakia hivyo mkuu maisha mengine yaendelee. Mambo ya polisi wachie wenyewe.
 
Poleni kwa taharuki za udukuzi na kupata taarifa za kushtua mioyo.

Nimeona heri tukumbushane hapa wale wanaharakati wa awamu ya 5 maarufu kama Mataga na hawa wa sasa kama chawa.

Tujue huwa wanabadili IDs tu ama usajili huwa ni mpya kabisa. Kuna Id zilitamba sana enzi za mwendazake leo huzioni. Lizaboni .

Naamini hata hawa akina Tlaatlaah & co nao watapita tu.

Tuwaite waje hapa, siasa ni wakati wasiwe wanyonge na kupoteza matumaini.
MATAG sasa wanajiita WATOTO WA FULANI
 
Kuna machawa nadhani walibadili ID nikijaribu kuwatag siwaoni ngoja niwataje tu kwa majina.

Huyu mmoja wa kuitwa Leslie Mbena huyu ndio kunguni mkuu wa awamu ya 5 na ndio mwanzilishi wa kuweka namba ya simu kwenye post ambayo amerithiwa na kunguni mkuu wa awamu hii Lucas Mwashambwa siku hizi amebadili jina la ID huwa anapost mara moja moja maana inaonekana awamu hii aliona hatoambulia kitu kabisa hivyo kuwaachia kijiti wengine

Pia kuna Kawe Alumni , Bia Yetu na Barbarosa.
 
Back
Top Bottom