Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Na yule tlaatlaah sijuiWalete hapa Lucas Mwashambwa
Hivi wamesema Polisi walipost picha ya utupu yaan ponographia kwenye ukurasa wao wa X au mimi sijaelewa?Poleni kwa taharuki za udukuzi na kupata taarifa za kushtua mioyo.
Endelea kubakia hivyo mkuu maisha mengine yaendelee. Mambo ya polisi wachie wenyewe.Hivi wamesema Polisi walipost picha ya utupu yaan ponographia kwenye ukurasa wao wa X au mimi sijaelewa?
MATAG sasa wanajiita WATOTO WA FULANIPoleni kwa taharuki za udukuzi na kupata taarifa za kushtua mioyo.
Nimeona heri tukumbushane hapa wale wanaharakati wa awamu ya 5 maarufu kama Mataga na hawa wa sasa kama chawa.
Tujue huwa wanabadili IDs tu ama usajili huwa ni mpya kabisa. Kuna Id zilitamba sana enzi za mwendazake leo huzioni. Lizaboni .
Naamini hata hawa akina Tlaatlaah & co nao watapita tu.
Tuwaite waje hapa, siasa ni wakati wasiwe wanyonge na kupoteza matumaini.
Inasemekana huyu Lizaboni ndiyo Lucas MwashambwaTujue huwa wanabadili IDs tu ama usajili huwa ni mpya kabisa. Kuna Id zilitamba sana enzi za mwendazake leo huzioni. @Lizaboni .
Na wao wamo. Karibu mkuu nilikusahau.umesahau nyumbu?
Nimesikia wamepost uchi wa mtu kwenye ukurasa wao ni kweli?Endelea kubakia hivyo mkuu maisha mengine yaendelee. Mambo ya polisi wachie wenyewe.
Hawajawahi kukanusha kauli hioView attachment 3340340
Bunge lime prove kuwa CCm ni mashoga na wameomba mashine kwa nchi ambazo zinaingilia uchumi wao waje na mashine