Uzi wa kujipooza makali!

Uzi wa kujipooza makali!

Ila sikaribii mazingira kijinga maana nikizingua nitaita maji mma!
Kaka ushauri wangu, muombe mungu akupe wa pekee Yako au yule atae kuhitaji, nimeteska sana na mapenzi mkuu lakini baadae nikagundua mungu alitaka kunipa elimu ya kutoogopa KUPOTEZA demu, Yani any time aki wish kisepa namfungulia mlango, alafu nilipo anza kusafir kwenda mbali nikaanza kuona vyuma sasa nikagundua kumbe wale wa kule ovyoo nilikutana na vyuma Mzee balaa mtoto mayai kuvunja biscuit hawezi matamu kama embe dodo
 
Ila mkuu ni kwel kutembea ndio kuona mengi
 
Back
Top Bottom