Uzi wa kujuana comment unapoishi.

Uzi wa kujuana comment unapoishi.

Comment unapoishi ili umpate na mwenzako mnaokaa mahali pamoja mimi naanza
kimara mwisho dar es salaam...√
Dah! Mkuu mbona unataka kuaribu ID za watu. 90% JF ID zao ni fake. Ndomana wako free kutalk any things. I don't know what you want with us
 
darajani,veta,keko fenicha,ddc,bora,maduka mawili,serengeti,mchicha,usalama,sudan........najikumbushia tu maana ukonda huu...
 
Back
Top Bottom