maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Duuu viatu vya fish mi sio uyo unaemfikiria aseeKumbe wewe ndiye Saida Nickson?
S inasimama kwa jina lipi sasa?Duuu viatu vya fish mi sio uyo unaemfikiria asee
S inasimama kwa jina lipi sasa?
Mkuu huu uzi wako una msaada gani?Otea, ila mfano Samson ndo S...... N
Ata hili unahitaji kuelekezwaMkuu huu uzi wako una msaada gani?
Otea, ila mfano Samson ndo S...... N
Ok wanakuja kukupa sapoti najua great thinker wengi wanamchukia magufuli na wameona umemkandia.
Hahaha nikupe 4_figureHiyo N ni Ngabu
Ngoja niendelee kutafuta S
weka na we herufi ya mwanzo ya jina lako watu wachukulie ujikoKumbe wewe ndiye Saida Nickson?
Hahaha nikupe 4_figure
Wewe StevenPoleni na majukumu wazee wezangu na wanangu pia, najua mmechoka sana huu utawala wa liganga (jiwe) but msijali aya yote mapito tu na mwisho itakua ni mwakani kama tutaamua kulitoa ili liganga
Najua wengi wetu tunapata shida sana kutambuana kutokana na id tunazotumia
Leo nimeamua niwaletee uzi simple utaosaidia tuweze tambuana japo ni kwa kuotea jina la mtu
Mtu atakua anataja herufi ya jina Lake ya mwanzo na ya mwisho afu anaefatia anaotea na yeye kundika herufi ya mwanzo na ya mwisho ya jina Lake
Nianze mimi
S...... N
Karibuni uzi unaendele unaruhusiwa kuotea
Tufanye tu la kikristoHahaha hiyo S jina la kiislamu ama kikristo?
Weka na we herufi ya mwanzo ya jina lako
B na e