maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Poleni na majukumu wazee wezangu na wanangu pia, najua mmechoka sana huu utawala wa liganga (jiwe) but msijali aya yote mapito tu na mwisho itakua ni mwakani kama tutaamua kulitoa ili liganga
Najua wengi wetu tunapata shida sana kutambuana kutokana na id tunazotumia
Leo nimeamua niwaletee uzi simple utaosaidia tuweze tambuana japo ni kwa kuotea jina la mtu
Mtu atakua anataja herufi ya jina Lake ya mwanzo na ya mwisho afu anaefatia anaotea na yeye kundika herufi ya mwanzo na ya mwisho ya jina Lake
Nianze mimi
S...... N
Karibuni uzi unaendele unaruhusiwa kuotea