maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
- Thread starter
-
- #41
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ety imejitoshelezaImejitosheleza Susan
Islamic au catholicH....a
Kwani nimekosea?[emoji23] [emoji23] [emoji23] ety imejitosheleza
Nadhani ulitakiwa kuuliza Islamic au Christian?Islamic au catholic
Kwani nimekosea?
Ndio umekosea kidogo
Niliona nikiweka hiyo Christian ntakua kama nmetaja jina na ukicheki uzi wenyewe ulivo nikaona bora nitumie catholic japo ilifaa nitumie ChristianNadhani ulitakiwa kuuliza Islamic au Christian?
Mkuu Ni Kujuana Au Kufahamiana??
Niliona nikiweka hiyo Christian ntakua kama nmetaja jina na ukicheki uzi wenyewe ulivo nikaona bora nitumie catholic japo ilifaa nitumie Christian
Nimekosea jina lakini nimekosea muundo uliotaka?
Mkuu Kujuana Lina Maana Nyingine Kabisa MkuuTufanye kufahamiana mkuu japo kufahamiana ndo mwanzo wa kujuana
Hamisa japo najua utanikosesha tuOkey, Christian
Sasa hili si Islamic bossHamisa japo najua utanikosesha tu
Nafahamu ilo mkuu ndio maana nimekubali mapemaMkuu Kujuana Lina Maana Nyingine Kabisa Mkuu
Ilo linatumika pande zote wakristo pia wanalitumia mkuuSasa hili si Islamic boss
Sasa kwa nini ulihisi nitakukoseshaIlo linatumika pande zote wakristo pia wanalitumia mkuu
HanifaH....a
[emoji23][emoji23][emoji23] kosaaaHanifa