Uzi wa kujuana

Pita kwa kunyata kabisa.. halafu nina hamu na futari ya pale Golden Fork ya makumbusho [emoji20][emoji20][emoji20]
Kabla ya mfungo kuisha nitakuita upate futari hapo hapo ulipo pachagua...[emoji6][emoji6] ngoja tarehe zisogee kidogo
 
SAmahani mkubwa usiwaingize vijana kwenye mtego wakafatwa na watu wasio julikana!!
Maxcence amejitahidi kuficha!!
Tuwe waungwana Walumumba ni hatari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…