Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,245
Beatrice, Bahati, Brigit, Betina
B.....e
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
B.....e
NoShamsa, Sharifa, Shamira
Beatrice
MmekosaaaaBeatrice, Bahati, Brigit, Betina
Tulia hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Naruhusiwa kujaribu [emoji16][emoji16]
Nakata rufaaaMmekosaaaa
Mmekosaaaa
Ngoja nipite kimya kimya sasa white [emoji28][emoji28][emoji28]Tulia hivyo hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Pita kwa kunyata kabisa.. halafu nina hamu na futari ya pale Golden Fork ya makumbusho [emoji20][emoji20][emoji20]Ngoja nipite kimya kimya sasa white [emoji28][emoji28][emoji28]
Ngoja kwanza nikajaze lakwako.Nakata rufaaa
Muulize huyo wa juu alietaka kusema kama kuna jina langu hapo. Halipo hapoHapa umekataa tu, lakini jina lako lipo hapo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ngoja kwanza nikajaze lakwako.
Ili nikikosea tukate rufaa kwa pamoja[emoji23]
Kabla ya mfungo kuisha nitakuita upate futari hapo hapo ulipo pachagua...[emoji6][emoji6] ngoja tarehe zisogee kidogoPita kwa kunyata kabisa.. halafu nina hamu na futari ya pale Golden Fork ya makumbusho [emoji20][emoji20][emoji20]
Chawaaaa.. halafu nikasahau kama na wewe unafungaKabla ya mfungo kuisha nitakuita upate futari hapo hapo ulipo pachagua...[emoji6][emoji6] ngoja tarehe zisogee kidogo
Umekosaa mkuu.Betha
Hahah mimi kufunga hapana kwa kweli, kumbe religion yako ni ya upande wa pili eeh.Chawaaaa.. halafu nikasahau kama na wewe unafunga
Eeeh.. mimi Christian...Hahah mimi kufunga hapana kwa kweli, kumbe religion yako ni ya upande wa pili eeh.
Kumbe twafanana. Na imani huwa unafunga lakni au kufunga ni mpaka uumwe [emoji846]Eeeh.. mimi Christian...