Uzi wa kukaribishana; KARIBUNI

Uzi wa kukaribishana; KARIBUNI

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Kama kuna chochote ungependa kushare basi ni muda wa kutukaribisha

Naanza mimi mwenyewe kuwakaribisha wale wote ambao wangependa kuchati na mimi pm basi mlango upo wazi, KARIBUNI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, kuchat kuhusu nini?
kwanini tuchat? nini faida ya kuchat?
 
Yeyote mwenye ako na ideas za online business atusaidie jameni..
Anyone with online business ideas..
 
Back
Top Bottom