KadogooCate
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 484
- 1,100
Ugali Maharage na mtindiMkuu,tuambie na wewe unakula nini
Utasinzia....Ugali Maharage na mtindi
Ukila hivi usiku,usingizi utakuwa ni wakutafuta
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nitakufa kwa njaa usingizini kwa hivi vyakula!
Inategemea,kama mchana umepata vitu heavy usiku ukila vitu laini hakuna shida
Nitakufa kwa njaa usingizini kwa hivi vyakula!
Inategemea,kama mchana umepata vitu heavy usiku ukila vitu laini hakuna shida
ha ha ha mkuu hujapata mwaliko wowote?Mpaka sasa naona usiku umepita kavuuuu. Maisha haya
Pililipi kama kitafunwa na chai ndo kisukumiza yaana unatafuna pilipili unasidindikiza na chaiAsante mkuu,inatumikaje hiyo?
Mkuu tuwekee picha ya huo mlo.Pililipi kama kitafunwa na chai ndo kisukumiza yaana unatafuna pilipili unasidindikiza na chai
ebwana ee! ebu tutoane ushamba kidogo, hii menyu ndo inaitwaje vile??
Green Apple 🍏ebwana ee! ebu tutoane ushamba kidogo, hii menyu ndo inaitwaje vile??
Hutaki kuwa kibonge!
Zinaongeza nguvu....Green Apple 🍏
Carrot 🥕
Mango🥭
Avocado 🥑
Cherry tomatoes 🍅
Cheese 🧀
Yaliyobaki malizia mkuu