Asante babe ake mdogo wangu, nawe pia uwe na pasaka njema
Nakutakia Pasaka njema!!Ngoja nikae sawa
Asante shemejii
Itapendeza sana mkuuSitozidisha mkuu ila at least nitakunywa balimi 8
Hahah!! Leo mpatane tu na huyo mzee wa arsenal damu mana tunatakiana pasaka njema...Uyo mcDonaldjr mzee wa kumsifia gaucho huwa hatupatani
Nashukuru sana shemu wangu wa nguvu...Asante babe ake mdogo wangu, nawe pia uwe na pasaka njema
Nawatakia Pasaka njema wana jf wooote bila upendeleo! Naamini Yesu atafufuka upya ndani ya mioyo yenu. Mzidi kubarikiwa mnoo na nawapenda woote!!!!
Poa shem najua tutakua pamoja Shunie atakupa location ... hahah!!Asante shemejii
Pasaka njema kwako mkuuMmmmh.
Haya bhna