Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Habari zenu wakuu?

Kama heading inavyojieleza huu hapa ni uzi special kwajiri ya kumtakia pasaka njema member yeyote umpendaye

Njoo hapa umtaje na umtakie pasaka njema yeyote bila kuogopa


Mimi naanza kwa kuwatakia pasaka njema wafuatao
1.SHUNIE
2.DAVET
3.MZIGUA90
4.DJ SEPETU
5.FAIZA FOXY

Pia nawatakieni wote PASAKA njema

Asanteni sana
Ba mkwe asante sana nakutakia na wewe pasaka njema huko ulipo unajua vene nakupenda
 
Back
Top Bottom