Iamricolee
Member
- Mar 31, 2018
- 22
- 29
Sawa shem nasubiriPoa shem najua tutakua pamoja Shunie atakupa location ... hahah!!
Pasaka njema kwako mkuu
we ni ke?Nakutakia pasaka njema wewe uliyesoma comment hii...nakupenda sana
Ba mkwe asante sana nakutakia na wewe pasaka njema huko ulipo unajua vene nakupendaHabari zenu wakuu?
Kama heading inavyojieleza huu hapa ni uzi special kwajiri ya kumtakia pasaka njema member yeyote umpendaye
Njoo hapa umtaje na umtakie pasaka njema yeyote bila kuogopa
Mimi naanza kwa kuwatakia pasaka njema wafuatao
1.SHUNIE
2.DAVET
3.MZIGUA90
4.DJ SEPETU
5.FAIZA FOXY
Pia nawatakieni wote PASAKA njema
Asanteni sana
Asanteeee [emoji8][emoji8][emoji8]Nakutakia pasaka njema wewe uliyesoma comment hii...nakupenda sana
Aiseeeee ebu ngoja nivae miwani labda nitaona vizuri sasa mimi nimesahaulikaje hapo kwa mfano naona unaitaka talaka au huu weusi wangu niliokuwa nao unanifanya nisionekane inabidi nitumie mkorogo sasa
MhNgoja nikae sawa
Hata me nimeshindwa kuielewaNakutakia Pasaka njema!!
Hiyo avatar siielewi
Ebu niulizie me nimesahaulikaje hapoAsante babe ake mdogo wangu, nawe pia uwe na pasaka njema
HalellujahNawatakia Pasaka njema wana jf wooote bila upendeleo! Naamini Yesu atafufuka upya ndani ya mioyo yenu. Mzidi kubarikiwa mnoo na nawapenda woote!!!!
Shemeji yako naona anataka talakaAsante shemejii
Miss u too B-13 nakutakia pasaka njema nakupendawapo wapi emmyta shunie
Nimewamis hawa watu.
Hahah!! Nilikua nakuandikia makala niishushe hapa bado sijaimalizia na wewe umenikatisha sasa....Aiseeeee ebu ngoja nivae miwani labda nitaona vizuri sasa mimi nimesahaulikaje hapo kwa mfano naona unaitaka talaka au huu weusi wangu niliokuwa nao unanifanya nisionekane inabidi nitumie mkorogo sasa
Asante rafiki pasaka njema pia