Acha kunijazaHahah!! Nilikua nakuandikia makala niishushe hapa bado sijaimalizia na wewe umenikatisha sasa....
AsanteePasaka njema wana jf wote. Yesu afufuke nioyoni mwenyu.
Pasaka njema wanaJf wote
[emoji120][emoji120]Muwe na pasaka njema wote
Naja bierini[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] tujage kwenye bieri
Karibu mkuuNaungana na wew mkuuu
Nakazia hapoHata me nimeshindwa kuielewa
Keshakuwish pm bhanaEbu niulizie me nimesahaulikaje hapo
Asante pia rafikiAsante rafiki pasaka njema pia
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Nawatakia pasaka njema members wote wa jf nawapenda mnoooo jamani [emoji8][emoji8]
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Nawatakia pasaka njema members wote wa jf nawapenda mnoooo jamani [emoji8][emoji8]
Li jpmLi nini?
Hapana ata sikujazi mumy...Acha kunijaza
I'm real loving you dear! Please let us move togetherNakutakia pasaka njema wewe uliyesoma comment hii...nakupenda sana