carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Halafu sijamuona siku nyingi kweli.Nisha mwambia tutakuepo wenyewe tu si Ney hayupo
Jamani umeongea kiupole mno baba yeyoo lakini una mabebez wako wengi halafu unataka kujiweka kwa kasie mbona me siongeiMie sina ubaya na wewe Mama Yeyoo.
Unajua namna ya kunipata. Pasaka njema
Mi mwenyewe ata mtu akiwa ana mtania my sweet sista[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Samaritan ana wivuuu mnooo navuta picha tu mahusiano yake nje ya jf
HahahahaUkuje iceman unaenda wapi lakini
Kaenda nyumbani kuwasalimia wazee wangu nakula nao skukuuHalafu sijamuona siku nyingi kweli.
Msalimie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani umeongea kiupole mno baba yeyoo lakini una mabebez wako wengi halafu unataka kujiweka kwa kasie mbona me siongei
Hahhahah yaan sakayo aliongea nini sijui samaritani akapanick akaniambia nakupa talaka hapa hapa kuanzia leo tutakuwa marafiki tuMi mwenyewe ata mtu akiwa ana mtania my sweet sista
Huwa natamani [emoji379]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iceman niache nipo in loveHahahaha
Si kwa maneno yale imebid nikimbie tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichekee tu iceman na me nina moyo huwa nakaa kimya anamwambia kasie anamsubiri amalize mambo zake tu huko jukwaa lenu la la usiku mnene ana mabebez mbona me siongei ye ameshaniacha amwache Davet jamani anilelee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka hadi nimekaa chini
HahahahaaHahhahah yaan sakayo aliongea nini sijui samaritani akapanick akaniambia nakupa talaka hapa hapa kuanzia leo tutakuwa marafiki tu
Pasaka njema MOTP
Mapenzi yana run duniaa uko sawaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iceman niache nipo in love
Happy EasterMisina
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichekee tu iceman na me nina moyo huwa nakaa kimya anamwambia kasie anamsubiri amalize mambo zake tu huko jukwaa lenu la la usiku mnene ana mabebez mbona me siongei ye ameshaniacha amwache Davet jamani anilelee
Aha ha haaaaaaaa! Ok[emoji23][emoji23].. Mkuu nakuona unataka kujipigia pass ya kisigino sasa eeh!!?
Shunie namuandalia walaka ili niushushe hapo baadae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzigua no nyingine shemeji yangu huyu mpya namsifu aisee ni mvumilivu anavumilia mengi mnoooHahahahaa
Eeeh mtu akikupenda anakuwa na hasira na wewe, ali act faster sana atakuwa alisha kuwa amekufuatilia
Ila sema ukimpenda mtu kama Mzigua90 hasira inabidi uziweke mbali maana utakuwa una umia mwenyewe tu [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Davet ebu punguza kidogo mambo unayonipa jamani nitachizika shunie mmMapenzi yana run duniaa uko sawaa
Me nishamove on ila yeye bado lakini hapo ana mabebez wakeHahahaha
Nyie mlikuwa mnajuana tayari afadhali kila mtu amove on.