Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka hadi nimekaa chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichekee tu iceman na me nina moyo huwa nakaa kimya anamwambia kasie anamsubiri amalize mambo zake tu huko jukwaa lenu la la usiku mnene ana mabebez mbona me siongei ye ameshaniacha amwache Davet jamani anilelee
 
Hahhahah yaan sakayo aliongea nini sijui samaritani akapanick akaniambia nakupa talaka hapa hapa kuanzia leo tutakuwa marafiki tu
Hahahahaa
Eeeh mtu akikupenda anakuwa na hasira na wewe, ali act faster sana atakuwa alisha kuwa amekufuatilia
Ila sema ukimpenda mtu kama Mzigua90 hasira inabidi uziweke mbali maana utakuwa una umia mwenyewe tu [emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichekee tu iceman na me nina moyo huwa nakaa kimya anamwambia kasie anamsubiri amalize mambo zake tu huko jukwaa lenu la la usiku mnene ana mabebez mbona me siongei ye ameshaniacha amwache Davet jamani anilelee
Hahahaha
Nyie mlikuwa mnajuana tayari afadhali kila mtu amove on.
 
Hahahahaa
Eeeh mtu akikupenda anakuwa na hasira na wewe, ali act faster sana atakuwa alisha kuwa amekufuatilia
Ila sema ukimpenda mtu kama Mzigua90 hasira inabidi uziweke mbali maana utakuwa una umia mwenyewe tu [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzigua no nyingine shemeji yangu huyu mpya namsifu aisee ni mvumilivu anavumilia mengi mnooo
 
Back
Top Bottom