EwaaaaaaAaah
Ww concentrate na nchi usha pewa usiwaze marais walo pita
Hakika hilo ni lamsingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] natamani nikujue nijichekee tu yaan weweNdio ujue jinsi gani bado umeuteka moyo wangu. Ila wivu nilionao sio wa nchi hii. Hiyo ni kweli nilishakwambia hata nje ya JF
[emoji23][emoji23][emoji23] Wakiiboresha JF toleo lijalo waweke na sehemu ya voice note jaman tuwetunatuma vicheko vyetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe ebu niache si unajua vile nakupenda ebu nipunguzie kidogo basi
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Hakika hilo ni lamsingi sana
Songa mbeleeeHakika hilo ni lamsingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichekee tu iceman na me nina moyo huwa nakaa kimya anamwambia kasie anamsubiri amalize mambo zake tu huko jukwaa lenu la la usiku mnene ana mabebez mbona me siongei ye ameshaniacha amwache Davet jamani anilelee
[emoji23][emoji23]ni stori ndefu kwakweli kwanin namuita hivyo.Khaaa! We nawe kwa stori
Sasa hiyo mkiitana inawakumbusha hadithi basi? Au kuna jengine
Samahan lakin
sikasema yupo na ww ss location yangu ya nini!!Kumnyima Iceman location
Hapana jamani kwa Davet nimefika kigoma mwisho wa reli kibonge mm ninavyobebwa kijana wa watu hajali uzito wangu wala manyama uzembe yangu ananibeba ananibinua binua nani ataweza kunibeba shunie mmWe jipe moyo tu, ukifanya kosa kidogo tu anatafuta Ben10 mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti sakayo kasema me na D akili zetu zinafanana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie jaman mna nifanya nionekane chizi
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa alikuwa anapima upepo sio kwa shunie jamani kila mtu anataka kupanda
AISEEE! [emoji16]Davet ndo ben10 wako siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Carba huyo ni mume wangu kiben10 namwita mm tu mkewe nyie wengine tutawashtaki jamani nampenda shemeji yako Mungu mwenyewe anajua
Hongera maa na shemeji DavetCarba huyo ni mume wangu kiben10 namwita mm tu mkewe nyie wengine tutawashtaki jamani nampenda shemeji yako Mungu mwenyewe anajua
You burned it downSome bridges never burn
HahhahahhahHahaha
Aliwawahi wenzie si mbaya
Aah! Ulweso pasaka njema ndugu yangu naona tunapishana tuAmina nawe pia
Nilimwabia i will be watching himEwaaaaaa
Ndio mana nakupendaga iceman halafu unakimbuka kwenye story ulisema kuhusu D
Nimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .