Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

[emoji23][emoji23][emoji23] Wakiiboresha JF toleo lijalo waweke na sehemu ya voice note jaman tuwetunatuma vicheko vyetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe ebu niache si unajua vile nakupenda ebu nipunguzie kidogo basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie jaman mna nifanya nionekane chizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jichekee tu iceman na me nina moyo huwa nakaa kimya anamwambia kasie anamsubiri amalize mambo zake tu huko jukwaa lenu la la usiku mnene ana mabebez mbona me siongei ye ameshaniacha amwache Davet jamani anilelee

Unaeza ntajia Bebs mmoja tu, Kasie huyo mchakato wake ni wa mkataba mrefu. Kupitia uzi huu namtakia Pasaka njema, msiniulize kwanini sijamtumia salam yeye moja kwa moja.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nyie jaman mna nifanya nionekane chizi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti sakayo kasema me na D akili zetu zinafanana
 
Nimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.

Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.

Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana


Kipenzi rafikiiii Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser

Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat

Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan

Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .


Asante dear!, salamu za Pasaka kwako pia mdada wa Nguvu!
 
Back
Top Bottom