Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Hapana jamani kwa Davet nimefika kigoma mwisho wa reli kibonge mm ninavyobebwa kijana wa watu hajali uzito wangu wala manyama uzembe yangu ananibeba ananibinua binua nani ataweza kunibeba shunie mm
Ok mi wacha nirudishe majeshi kwa mzungu wangu,...we house girl hebu njoo huku.....aaah huyu sijui kapotelea wapi siku hizi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shshhhhhiiiiiii!
Usimwambieeee muache atayaona mwenyewe
Aha ha haaaaa! Namwambia ajiandae kimwili na kiakili huenda hajakomaa bado
Aiseeee
Hivi mna nini na mm nikiachika hamu zangu mtanimalizia nyie kama anavyonipa Davet niacheni jamani tena wewe Krait ndio uniache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…