carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Incase tuki change plans[emoji41][emoji41]sikasema yupo na ww ss location yangu ya nini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Incase tuki change plans[emoji41][emoji41]sikasema yupo na ww ss location yangu ya nini!!
Inabidi alijue hiloNilimwabia i will be watching him
Mimi ni kama CCTV camera awe makini
Ok mi wacha nirudishe majeshi kwa mzungu wangu,...we house girl hebu njoo huku.....aaah huyu sijui kapotelea wapi siku hiziHapana jamani kwa Davet nimefika kigoma mwisho wa reli kibonge mm ninavyobebwa kijana wa watu hajali uzito wangu wala manyama uzembe yangu ananibeba ananibinua binua nani ataweza kunibeba shunie mm
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jipe moyo tu, ukifanya kosa kidogo tu anatafuta Ben10 mwingine
Karibu sana... ili mradi usinogewe ukaweka kambi.
Amina nawe pia, tunapishana kweli mie nilipita humu mapema sana nimerudi mchana nikachungulia kidogo ila yote mema kakaAah! Ulweso pasaka njema ndugu yangu naona tunapishana tu
MOTP
Ndio nn!?
Aaaah[emoji23][emoji23]ni stori ndefu kwakweli kwanin namuita hivyo.
Aha ha haaaaa! Namwambia ajiandae kimwili na kiakili huenda hajakomaa bado[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shshhhhhiiiiiii!
Usimwambieeee muache atayaona mwenyewe
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti sakayo kasema me na D akili zetu zinafanana
Kila la heri jamani halafu uache kumsumbua Davet wangu kwa nini mna wivuOk mi wacha nirudishe majeshi kwa mzungu wangu,...we house girl hebu njoo huku.....aaah huyu sijui kapotelea wapi siku hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shshhhhhiiiiiii!
Usimwambieeee muache atayaona mwenyewe
AiseeeeAha ha haaaaa! Namwambia ajiandae kimwili na kiakili huenda hajakomaa bado
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah
Yuko sawa kabsa yaan nyie mna jijua wenyewe
Perfect match
NoooooLeo Pasaka bro, hiyo habari tuiweke kando kwanza. Carba anajua kabisa leo ni siku ya kutulia na familia, anataka kuvuruga Pasaka jioni.
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo Pasaka bro, hiyo habari tuiweke kando kwanza. Carba anajua kabisa leo ni siku ya kutulia na familia, anataka kuvuruga Pasaka jioni.