Patanoga[emoji23][emoji23][emoji23] Wakiiboresha JF toleo lijalo waweke na sehemu ya voice note jaman tuwetunatuma vicheko vyetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameshazamia na me nimezama kabisa mtuwache jamani hivi mnapenda kusikia me ni chizi sababu ya hamu kunizidia
HalooooSome bridges never burn
Babe achana nao yote hiyo ni wivu wana hamu ya kunimiliki kibonge mm lakini hawaniwezi nani ataweza nibeba kama unavyonibeba kuna mda namwambia Mungu wangu kwa nini hajanionyesha mapemaHahah!! Aisee mkuu umenifurahisha ila nitajitahidi nisifanye kosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lets have a man to man talk Chief, huyo hana wala hajali kwamba wewe unajitahidi, siku akiamua anakumwaga na kukumiminia mbali kama hakujui.
Malizia kusherehekea pasaka kwa raha zako mkuu. Shake well before use
[emoji23][emoji23][emoji23]You burned it down
Deal with it
[emoji23]
Babe ukiniacha ujue unakufwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mimi ndio nasema achwe aachweeeAmeshazamia na me nimezama kabisa mtuwache jamani hivi mnapenda kusikia me ni chizi sababu ya hamu kunizidia
Iceman jamani hata weweMi ntazimaliza
Lakini ndio nlikuwa namzuia jamaa asisema hivo[emoji1]
Hivi Shunie kwa nn unasemaga uzi wanguNa we upo na mastress na upweke unakesha kwenye huo uzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo Samaritan hapana jamaniMruhusu tu ila nahisi ajiandae kisaikolojia kabisa.
Hivi haumiliki jambia wewe kweli??
HarooooooBabe achana nao yote hiyo ni wivu wana hamu ya kunimiliki kibonge mm lakini hawaniwezi nani ataweza nibeba kama unavyonibeba kuna mda namwambia Mungu wangu kwa nini hajanionyesha mapema
[emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda D wangu mm D wa shunie tu nyakunyaku ole wenu niwajue mkae mbali
Khaaaaa msiniharibie jamani nimeingia miguu miwili hapo nikiachika nakufwa baba yeyoo una nini lakiniLets have a man to man talk Chief, huyo hana wala hajali kwamba wewe unajitahidi, siku akiamua anakumwaga na kukumiminia mbali kama hakujui.
Malizia kusherehekea pasaka kwa raha zako mkuu. Shake well before use
HahahahahaaaHahahh ila kwa kubadilisha kibao tu sasa mimi na mzigua letu moja lipiii na sakayo ukimuona huwa unambadilishia kibao kasababisha uachane na shunie
Ndio itasaidia kujua kwa nn anaitwa MOTP?Nikupe link??
Limekolea carba shunie mm nimepatikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]woyooooooooooo
Naona penzi limekolea
Pamoja mkuu nmekuelewaLets have a man to man talk Chief, huyo hana wala hajali kwamba wewe unajitahidi, siku akiamua anakumwaga na kukumiminia mbali kama hakujui.
Malizia kusherehekea pasaka kwa raha zako mkuu. Shake well before use