Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Babe achana nao yote hiyo ni wivu wana hamu ya kunimiliki kibonge mm lakini hawaniwezi nani ataweza nibeba kama unavyonibeba kuna mda namwambia Mungu wangu kwa nini hajanionyesha mapema

[emoji8][emoji8][emoji8] nakupenda D wangu mm D wa shunie tu nyakunyaku ole wenu niwajue mkae mbali
Aya sawa siwajari sasa embu tutoke humu ndani mara moja tutarudi baadae
 
Hivi Shunie kwa nn unasemaga uzi wangu
Ulikukosea nn?
Hebu leo niambie
Jamani haujanikosea kitu hivi kweli mtu upo sawa utakesha jf usiku wote seriously una mke wako au mbebez wako anakupa kampani utakumbuka kukesha kule yaan kule ni masingle na deep mawazu mnisamehe tu jamani nawapenda nitakuja siku kuwatembelea nikiwa kiwanja nakesha
 
Back
Top Bottom