Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Woyoooooooo nakufahamu wakunyumba shemeji yangu sijui yuko api leo siku nitampa tuzo yake ya uvumilivuBut why.????? Nina shida gani mie lakini? Wakunyumba mi napenda kuliko neno mapenzi ila mpaka nipende jamani si jambo dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]