Nimechelewa kuwatumia salamu mnisamehe kwa hilo jamani majukumu ya ndoa yananipenda zaidi.
Nianze na mme wangu anayenifanya niwe na raha kwenye dunia hii Mr
Mshana Jr jua nakupenda na ninakupenda sana tu mimi ni wako baba usiwe na shaka.
Pamoja na watu wangu wa nguvu wafuatao nawakubali sana
Kipenzi rafikiiii
Mwifwa
Neybright
Sakayo
Mrs Van
Inna
Mzigua90 na cephalocaudo
jje's na Kichwa Kichafu
Thad
Shunie na Davet
Jolie Jolie na hazard cfc
mumu na Mr Miller
Cajojo
usser
Sir Manga ML na Maserati
ledada
Sky Eclat
Queenever
Da Lu
carbamazepine
Mama Sabrina
geniveros
hearly
Numbisa
ISIS
Nalendwa
espy
Samaritan
Na wengine wotee majina magumu jaman mnisamehe .