Nimpendaye hayumo humu kusoma
Ila hata ndugu na jamaa na marafiki hewa wa humu kuwakumbuka sio mbaya.. salamu ziwafikie
chuma cha mjerumani
Nyani Ngabu
Walioko huko hewani..
Ujumbe ni..
Kumbukeni humu ni burudani.. kusukuma dakika mtu unapoingia.. salamu pia kwa familia zao.. msinune nune.. msidisi.. eeeeh
Hope you had a great holidays Mali..Mimi nawatakia Pasaka Njema hawa wafuatao:
1. FisadiKuu
2. Palantir
3. zitto junior
4. Prof
5. Wana-JF woteeeee!
Welcome Brav....!Hope you had a great holidays Mali..
Thanks for the wishes
ASANTE SANA BESTHappy Easter moments na Smart911 the greiittttttttttt kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiing ,, my one and only supa heeeenndisam
Lebig dada Money Penny a.k.a mama la mamaaa
Na wengine woooote have a wonderful Easter time [emoji111]
bado nipo huko! hehe vp skukuu?
Sikukuu gani? Unamaanisha Pasaka aubado nipo huko! hehe vp skukuu?
MuunganoSikukuu gani? Unamaanisha Pasaka au
Haaa haaaa watu wameshinda nyumbani na TV tu, wafanyabiasharaMuungano