Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Uzi wa kumtakia Pasaka njema umpendaye

Nimpendaye hayumo humu kusoma

Ila hata ndugu na jamaa na marafiki hewa wa humu kuwakumbuka sio mbaya.. salamu ziwafikie

chuma cha mjerumani
Nyani Ngabu

Walioko huko hewani..

Ujumbe ni..

Kumbukeni humu ni burudani.. kusukuma dakika mtu unapoingia.. salamu pia kwa familia zao.. msinune nune.. msidisi.. eeeeh



Heri ya pasaka cocochanel
 
Back
Top Bottom