Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Asante sana yaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana yaani
Anhaaa unaongea sana kwaniHahah!! Mkuu hili ni vibe la pasaka tu bhn ngoja ikiisha na mm nafyata mkia
ww hapo tu unalialia....na mm niliewekwa no 9!!!@Mzigua90
Unaona umeniweka eti hadi Mr Miller ako juu yangu!! Ana nicheka
Aaah!
[emoji23][emoji23] aya toka huko mbali njoo huku karibuDooh niliwaza mbali mie
Niko hapa babe karibu yako[emoji23][emoji23] aya toka huko mbali njoo huku karibu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeh!!Ndio mana nakupenda D wangu mm [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] mwanaume uliyezaliwa kwa ajili ya shunie me ndio najua uanaume wako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]ww hapo tu unalialia....na mm niliewekwa no 9!!!
Kuna watu wapo top 5 uko....nimejikaza kiume tu nashushia na maji kimya kimya.
Sawa nimekuelewaBabe achana nao mapenzi yako moyoni sio kupost
Khaaa! Eeeh wapendenao hao!Hapana mkuu watazoea tu tena mama yao mdogo nilienae alivyo onfire basi wataelewa vizuri zaidi
Eeehpeke yake!!
[emoji23]Ndio mana nakupenda D wangu mm [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] mwanaume uliyezaliwa kwa ajili ya shunie me ndio najua uanaume wako
Nakutakia pasaka njema wewe uliyesoma comment hii...nakupenda sana
Babe jamani ni nini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sasa braza wewe si afadhali uko top 10
Mimi kweli hata kikosi cha kwanza si ingii
Sema Mzigua90 nadhan ni wa kumzoea tuu.
Na mie ngoja ni nywee chai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi baba yeyoo una nini jamani me na we tumetoka mbali ukuje dar nikuone halafu ukuje na maubuyu si unajua vile napendaNashukuru sana mkuu. Niwasilishie salamu zangu kwa ndugu na jamaa woooote kila jukwaa.
Jifunze na kufuzu kumhimili Shunie sio kazi ndogo. Ni rafiki mzuri lakini