Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
MOTPPasaka njema MOTP
Ndio nn!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MOTPPasaka njema MOTP
Hahah!! Kumbe kiongozi ndio alikua anashika madaraka b4?Hahaha
Aliye wahi kuwa-----------
Naona unampa wosia mrithi wako bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaa
Woyoooool!
Hayo maneno Davet anatamani ayanywe amezee na maji kabsa
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzigua no nyingine shemeji yangu huyu mpya namsifu aisee ni mvumilivu anavumilia mengi mnooo
Man Of The People(MOTP)MOTP
Ndio nn!?
[emoji23][emoji23][emoji23] Wakiiboresha JF toleo lijalo waweke na sehemu ya voice note jaman tuwetunatuma vicheko vyetuAyamezeee jamani nampenda D wangu moyo wangu unamsukuma Davet tu [emoji8]
Mwambie jamaa ajifunze kwa mzee samaMe nishamove on ila yeye bado lakini hapo ana mabebez wake
Davet ndo ben10 wako siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Davet ebu punguza kidogo mambo unayonipa jamani nitachizika shunie mm
AaahHahah!! Kumbe kiongozi ndio alikua anashika madaraka b4?
Khaaa! We nawe kwa storiMan Of The People(MOTP)
Ni moja kati ya story nzuri sana za lara 1,itafute uisome ni nzuri mnoo.
Jamani umeongea kiupole mno baba yeyoo lakini una mabebez wako wengi halafu unataka kujiweka kwa kasie mbona me siongei
Madaraka ya kwako unatakiwa hilo swali uniulize mm babeHahah!! Kumbe kiongozi ndio alikua anashika madaraka b4?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanajuana kweliHahahahaha
Wanajuana wenyeweee! Aki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] babe ebu niache si unajua vile nakupenda ebu nipunguzie kidogo basi[emoji23][emoji23][emoji23] Wakiiboresha JF toleo lijalo waweke na sehemu ya voice note jaman tuwetunatuma vicheko vyetu
Hakika hilo ni lamsingi sanaAaah
Ww concentrate na nchi usha pewa usiwaze marais walo pita
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atakuwa alikuwa anapima upepo sio kwa shunie jamani kila mtu anataka kupandaMwambie jamaa ajifunze kwa mzee sama
Ngazi ina watu wengi na yeye akiachia hata ki utani watu wana panda
Carba huyo ni mume wangu kiben10 namwita mm tu mkewe nyie wengine tutawashtaki jamani nampenda shemeji yako Mungu mwenyewe anajuaDavet ndo ben10 wako siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Amina nawe piaPasaka njema kwa wana JF woooote.