Kwa anaetaka gari za Tunduma-Mbeya-Arusha-NairobiHabari zenu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika ,kama itawapendeza madereva na wahitaji wa huduma za usafirishaji wa mizigo mbalimbali ndani na nnje ya Tanzania, mjaribu kutaja/ ku share routes zenu kwenye huu uzi ,ili isaidie wale wanaokuwa na uhitaji wa huduma hiyo kwa lengo la biashara.
Binafsi nahitaji gari ya route ya
Kilombero - Arusha
Kilombero/mikumi - kagera
Kilombero - mwanza
Naomba niulize swali la kizushi,unauhusiano gani na Zito IQ?🏃.Pia kwanini isitumie njia ya kupitia mawakala wa usafirishaji wanaotambulika,kwani humu nijuavyo mimi 99.9% ni wazi wasiotaka kutambulika humu hata na nje ya humu kwa maana ya kuwa huru kwa sababu na malengo anuai.Je hakuna uwezekano wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia ,kama hauta kuwa makini😂.Ila ni mawazo tu🚶Habari zenu,
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika ,kama itawapendeza madereva na wahitaji wa huduma za usafirishaji wa mizigo mbalimbali ndani na nnje ya Tanzania, mjaribu kutaja/ ku share routes zenu kwenye huu uzi ,ili isaidie wale wanaokuwa na uhitaji wa huduma hiyo kwa lengo la biashara.
Binafsi nahitaji gari ya route ya
Kilombero - Arusha
Kilombero/mikumi - kagera
Kilombero - mwanza
Uko sawa kama unaongelea wafanya biashara wakubwa ndugu, ikija kwa wafanya biashara wadogo faida inapatikana unaposafirisha kwa bei ya chini. Mfano Nilipo kufaririsha dagaa debe 15 had dodoma kwa kutumia wakala ni sh 150,000, kwa magari ya connection ni sh 10,000 tu..More risk ndioNaomba niulize swali la kizushi,unauhusiano gani na Zito IQ?[emoji125].Pia kwanini isitumie njia ya kupitia mawakala wa usafirishaji wanaotambulika,kwani humu nijuavyo mimi 99.9% ni wazi wasiotaka kutambulika humu hata na nje ya humu kwa maana ya kuwa huru kwa sababu na malengo anuai.Je hakuna uwezekano wa kuuziwa mbuzi kwenye gunia ,kama hauta kuwa makini[emoji23].Ila ni mawazo tu[emoji124]